Mkusanyiko wa watu asubui hii wakishangaa jinsi daladala ilivyoharibika alfajiri, baada ya kugonga treni wakati ikielekea Ubungo, gari hiyo iliingia kwenye njia ya treni wakati treni ikipita katika barabara ya Msimbazi karibu na kituo cha police cha Gerezani.
CHINI: Ni daladala likiwa limepondwa baada ya kuingia kwenye njia ya treni, leo alfajiri saa 11, katika barabara ya Msimbazi karibu na kituo cha Polisi cha Gerezani
ANGALIA PICHA ZAIDI...
No comments:
Post a Comment