Msanii wa Hip Hop Langa Kileo anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye makaburi ya kinondoni jijini Dar es Salaam, msanii huyo alifariki jana jioni baada ya kulazwa katika hospitali ya kinondoni baada ya hali yake kuonekana kuwa mbaya alihamishiwa katika hosipati ya taifa Muhimbili.
Msanii huyo alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa Malaria pamoja na homa ya uti wa mgongo
No comments:
Post a Comment