Tuesday, June 04, 2013

BAADHI YA PICHA ZA WASANII WALIOFIKA KUPOKEA MWILI WA MANGWEA

 Msafara wa kumpeleka marehemu Muhimbili ushaanza, na vijana walitaka kulisukuma gari hadi hospitali ila wameombwa watulie, 
Eneo zima la Uwanja wa ndege jijini Dar es Salaam limetawaliwa na huzuni, huku watu wakiimba 'alazwe pema peponi kamanda Ngwair'. Mwili wa Marehemu Ngwea, msafara wa waliokuja kumpokea ni mkubwa sana, wanaimba kalale pema peponi kamanda 

 ANGALIA PICHA ZAIDI NDANI ...










1 comment: