Sunday, June 09, 2013

BAADHI YA MASUPASTAA WALIOHUDHURIA UTOAJI WA TUZO ZA KILIMANJARO MUSIC AWARDS 2013

 Chazy Baba akiwa na mkewake mtarajiwa jana kwenye usiku wa Tuzo za Kilimanjaro Music Awards zilizofanyika Mlimani City Dar es Salaam
 Mwana FA akifwatiria utoaji wa tuzo za Kilimanjaro music zilizofanyika jana
 Msanii wa Hip Hop Kara Jeremiah akifwatiria utoaji wa tuzo hizo



 Muimbaji wa bendi Luiza Mbutu akifwatiria tuzo hizo

 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Queen Darin kushoto pamoja na Mwasiti
 Mtangazaji wa redio Clouds Fm Adamu Mchomvu akifwatiria tuzo hizo
 Wema Sepetu naye alijumuika na mami ya watu kufwatiria utoaji wa tuzo hizo
Msanii wa filamu nchini Wolpa akifwatiria utoaji wa tuzo hizo

No comments:

Post a Comment