IVORY COAST WAIKUBALI TANZANIA
Katika hali isiyokuwa ya kawaida au pengine ya kawaida uwanjani, Mbwana
Samata alipiga tiktak ya ukweli ambayo ilimfikia Ulimwengu na hatimaye
kusababisha goli la kwanza dakika
chache baada ya mpira kuanza katika kipindi cha kwanza.
chache baada ya mpira kuanza katika kipindi cha kwanza.
Umati uliofurika katika uwanja wa Taifa kuishangilia timu yao, ulishangilia kwa sauti za kila aina, hata waliporudisha Ivory Coast bado watu hawakuamini kama kweli wangeweza kutoka katika mtego huo.
Mpira uliendelea kwa kasi ya ajabu, na hata baada ya kipindi cha kwanza kuisha tukiwa ndani ya chumba cha habari mwandishi mmoja kutoka Ivory Coast aliyeambatana na timu hiyo alisikika akirudia mara kwa mara kuwa, 'Tanzania team is great" akimaanisha Tanzania mpira ni mzuri
Jambo ambalo hakunawengi hawakutegemea, hata yeye mwenyewe inaelekea hakuamini pamoja nawenzie kuwa Tanzania mpira umekuwa.
imefika wakati sasa tuanze kujiamini na kuongeza ufundi zaidi katika soka yetu kwani hakuna ambacho hatuna, na inshalah msimu mwingine tnaweza ingia world cup
No comments:
Post a Comment