Saturday, May 11, 2013

WASANII WA NGOMA ZA ASILI

Wasanii wa kikundi cha ngoma za asili wa kijiji cha Makumbusho wakitoa burudani jana usiku wakati wa siku ya kumbukumbu ya mwanamuziki wa rege Bob Marley iliyofanyika katika kijiji hicho

No comments:

Post a Comment