Mtoto Gladys Chelagat mwenye umri wa miaka 10
akiwa amembeba mwanae mwenye uzito wa kilo 2.8 katika Hospitali ya Wilaya, Kericho, Kenya. Gladys aliekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi ya Chemamul, alijifungua
kwa njia ya upasuaji (caserian section)
KWA HISANI YA MTANDAO
No comments:
Post a Comment