Mwanajeshi Jack Wright mwenye umri wa miaka 88, amemuoa Shirlene King
mwenye miaka 57 huko Los Angels Marekani, cha kufurahisha zaidi ni kwamba
wamekuwa pamoja kwa miaka 30 kabla ya kuamua kufunga ndoa. Mwanajeshi huyo nk
kati ya wanajeshi wachache waliobaki nchini Marekani ambao walipigana vita ya
kwanza ya dunia. Mzee huyo aliamua kumuoa King baada ya kuugua saratani huku
akiendelea na matibabu yake.
Juu ni mara baada ya kufunga ndoa yao katika hospitali ya wazee huko Los
Angeles, 07 may, 2013, chini ni wakivalishana pete kuashiria upendo usio na
mwisho.
No comments:
Post a Comment