Monday, May 13, 2013
CHARLZ BABA KUUWAGA UKAPERA
RAIS wa bendi ya Mashujaa 'Wanakibega' Charlz Baba ameamua kuweka mambo wazi kwa kumvalisha pete ya uchumba Rehema Sospeta na kuiweka wazi tarehe ya ndoa yake ambayo inatarajiwa kufungwa Agost 24 mwaka huu.
Charlz Baba amefanya kitendo hiko wakati wa uzinduzi wa mauzo ya albamu ya bendi hiyo uliofanyika mwisho mwa wiki hii jijini Dar es Salaam
Akizungumza na mwandishi wa habari hii muimbaji huyo alisema ameamua kuweka wazi mahusiano yake ya kimapenzi wazi kwa sababu ya kuepuka uongo katika swala la mapenzi.
Alisema kuwa ni bora kuwa na msimamo ili kuepuka vishawishi na teyari muda umefika wa yeye kuweka wazi mapenzi yake ili aweze kujenga familia yake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment