Hili ndilo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania siku chache zilizopita hali iliyosababisha mbunge wa Mwibara mkoani Mara Kangi Lugola (CCM) jana kuomba muongozo wa spika kutaka ufafanuzi wa utoro wa Mawaziri na Wabunge katika Bunge la bajeti linaloendelea mjini Dodoma
No comments:
Post a Comment