Wednesday, June 20, 2012

Makabidhiano ya Faru toka Uingereza

Balozi wa Uingereza nchini Bi. Diane Corner (wapili kushoto) akipeana mkono na Waziri wa Maliasili 
na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki baada ya makabidhiano ya faru watatu (wakiwa kwenye masanduku 
kwa nyuma) waliotoka nchini Uingereza ambao watakuwa mbuga ya Mkomazi iliyoko mkoani 
Kilimanjaro jumapili iliyopita (Picha kwa hisani ya Ubalozi wa Uingereza)





No comments:

Post a Comment