leo ambapo jumla ya wanachama wapya 50 walipokelewa kulia ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akimkabidhi kadi ya CCM moja ya wanachama wapya waliojiungana chama hicho wakati alipokwenda kufungua tawi la CCM Kata ya Usagara
leo ambapo jumla ya wanachama wapya 50 walipokelewa kulia ni Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akifungua tawi la CCM Kata ya Usagara leo ambapo pia alipokea wanachama wapya 50 walipokelewa kushoto ni Mbungewa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma kulia ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkoba
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akifungua tawi hilo
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga akizungumza mara baada ya kulizindua tawi hilo ambapo aliwataka wana CCM kushikamana ili kuhakikisha Jimbo la Tanga linarudi kwenye Uchaguzi Mkuu Ujao 2020
Mwenyekiti wsa CCM wilaya ya Tanga Meja Hamisi Mkobaakizungumza katika uzinduzi huo kulia ni Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazeena Watoto Ummy Mwalimu ambaye pia ni Mbunge wa Viti Malumu (CCM) mkoa wa Tanga
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini (CCM) Joseph Msukuma akizungumza ambapo aliwataka wana CCM Jimbo la Tanga kushikamana ili kulirejesha Jimbo hilo
Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Tanga Lupasio Kapange akizungumza kwenye ufungaji huo wa Tawi la Usagara Jijini Tanga leo
No comments:
Post a Comment