Monday, September 19, 2016

MKUU WA MAJESHI GEN MWAMUNYANGE APOKEA UJUMBE TOKA CHINA


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akipokea zawadi ya nembo ya Jeshi la China kutoka kwa Mkuu wa Tawi la Ugavi wa China, Luteni Jenerali Liu Shengjie alipomtembelea ofisini kwake jana makao makuu ya jeshi jijini Dar es Salaam  (Picha na Luteni Selemani Semunyu)


Mkuu wa Tawi la Ugavi wa Jeshi la China Luteni Jenerali Liu Shengjie akipokea zawdi ya nembo ya JWTZ kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jana, Makao Makuu ya Jeshi jijini Dar es Salaam (Picha na Luteni Selemani Semunyu)


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunnyange akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa maofisa wa jeshi toka China ukiongozwa na Mkuu w Ugavi wa Jeshi hilo Luteni Liu Shengjie mara baada ya kumtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi jana jijini Dar Es Salaam. (Picha na Luteni Selemani Semunyu)


No comments:

Post a Comment