Waziri Mkuu wa zamani na
aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chadema na kuungwa mkono na ukawa
Edward Lowassa akimsimika ulaigwanani Alhadji Mapukori Mberekeli huko
Nanja Monduli jana Lowassa ni kiongozi Mkuu(laigwanani mkuu)wa wamasai
afrika mashariki.
No comments:
Post a Comment