Mtayarishaji na Muongozaji wa filamu mbili za “Maisha ya Bi. Kidude” na “Kifo cha Bi. Kidude”, Bw. Andy Jones akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) mapema hii leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa filamu hizo siku ya jumamosi katika ukumbi wa sinema wa Zancinema Mjini Zanzibar ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Marehemu Bi. Kidude. (Picha na Eliphace Marwa - Maelezo)
No comments:
Post a Comment