Monday, February 22, 2016

YANGA NA SIMBA: ANGALIA KAZIMOTO ALIVYOPEWA KIBANO JUZI...(PICHA)


Kutoka kushoto juu, mshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto akiugulia maumivu baada ya beki wa Yanga, Juma Abdul Kumchezea madhambi, huku wachezaji wa Simba kwenye benchi wakishangaa wakati Kocha wao, Jackson Mayanja akihamaki mchezaji wake kuchezewa rafu. Hata hivyo mpira uliendelea kama kawaida bila ya kuchukuliwa hatua zozote. Kulia ni mwamuzi wa mchezo huo Jonesia Rukyaa. Yanga ilishinda 2-0(picha na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment