Sunday, February 14, 2016

WAZIRI JENISTA MHAGAMA AFUNGA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA WADAU WA 25 PPF

 Waziri wa Sera, Bunge, Vijana Ajira na Walemavu Jenista Mhagama, akisoma hotuba yake ya kufunga Mkutano mkuu wa 25 wa mwaka wa Wanachama na Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, uliomalizika leo mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Meneja wa Rasilimali Watu na Utawala wa Taasisi ya Teknolojia, Dar es Salaam, (DIT) Sebastian Ndahani, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.



Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Ofisa wa fedha wa Benki ya Maendeleo TIB, Caroline Lundo, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika , mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah


Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Twiga Security, Joseph Nyahande, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM, David Christopher, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mhasibu wa DIT, Nasra Othman, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Viajana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama, akimkabidhi Cheti cha ushiriki wa Mkutano Mkuu wa 25 wa Mwaka wa Wadau wa Mfuko wa Pensheni PPF, Mhasibu wa Benki Kuu Tawi la Mwanza, Claudia Manyanda, wakati wa ufungaji wa Mkutano huo uliomalizika mwishoni mwa wiki, kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, (wa pili kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, (wa pili kushoto) ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mamlaka ya ya Usimimamizi wa mifuko ya hifadhi ya Jamii, Juma Muhimbi, kulia kwa Waziri ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya PPF, Ramadhani Kijjah.






01, 03 na 7:-  Picha na Muhidin Sufiani/MafotoMedia

1:  Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

2:- . Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

3:-  Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

4:- Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

5:- Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media

6:-  Picha na Muhidin Sufiani/Mafoto Media


No comments:

Post a Comment