Tuesday, February 23, 2016

PSPF YATOA SOMO KWA WAJASIRIAMALI

Afisa uendeshaji msaidizi aliyekaa kulia Bi. Sophia Msuya akiwapa maelezo wateja juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)

 Afisa Mauzo na Masoko kutoka PSPF Bw. Ismail Omary kilia akimpa maelekezo ya juu ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Mfuko huo mgeni rasmi Yeremia Mbaghi kutoka TRA ikiwa ni pamoja na huduma ya uchangiaji wa hiari kwa wajasiriamali.Hafla hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).



Afisa uendeshaji kutoka PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelekeza wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na huduma ya uchangiaji kwa hiari kwa faida ya biashara zao na maendeleo yao kwa ujumla. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM)



No comments:

Post a Comment