Kamati ya Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) ilikutana
na mashirika mbalimbali kwa lengo la kutafuta namna ya kushirikiana kutatua migogoro
mbalimbali ya mauaji nchini Burundi. Mkutano huo ulifanyika katika makao makuu
ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, mkoani Arusha ijumaa tarehe 15/01/2016
PICHA ZOTE NA DOREEN ALOYCE, ARUSHA
No comments:
Post a Comment