Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Arusha, wakati
akipita barabarani kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) kilichopo
Monduli. Kati ya mambo ambayo atafanya akiwa Monduli ni pamoja na kutunuku
Kamisheni kwa Maofisa wanafunzi wa Chuo Cha Mafunzo ya Kijeshi, Monduli ambalo
ni kundi la 57/15.
No comments:
Post a Comment