Tuesday, December 29, 2015

TIGO PESA YAWAONGEZEA UWEZO MAWAKALA ZANZIBAR

Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar

Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Maofisa wa Tigo Pesa baada ya mkutano wao wa kutowa elimu ya uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya BenBella Zenj.

Msimamizi wa Tigo Pesa Kanada ya Zanzibar Mubaraka akibadilishama mawazo na Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho, baada ya mkutano wao na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar uliofanyika katika viwanja vya Skuli ya Sekondari Ben Bella Zanzibar.

Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar

Mkurugenzi wa Tigo Pesa Tito Magesho akizungumza na

mawakala wa Tigo Pesa walioko Zanzibar wakati wa mkutano wa kuwakutanisha mawakala wa Zanzibar jinsi ya kuendesha huduma hiyo kwa wateja wao mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa skuli ya sekondari ya ben bella Zanzibar

Afisa wa Tigo Pesa Kanda ya Zanzibar Mbaraka akizungumza na Mawakala wa Tigo Pesa Zanzibar wakati wa mkutano na Mawakala hao uliofanyika katika ukumbi wa Skuli ya Sekondari ya Ben Bella Zanzibar

Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot

Zanzonews.com.

No comments:

Post a Comment