Wednesday, July 16, 2014

MOTO MWANANYAMALA, LIVE ZIMAMOTO YACHEMSHA JANA (VIDEO + PICHA 10)

Wakazi wa Mwananyamala wakiimba kwa hisia "Zimamoto Hatuwataki, Zimamoto Haina Maji"jana baada ya Zimamoto kufika eneo la tukio na kushindwa kazi.
Askari wa Jeshi la Zimamoto, Saleh Ally Mohammend, Sajent Meja, akitoa maelezo kuhusiana na tukio zima moto katika eneo hilo

Chini ni vijana wakijitahidi kuzima moto kwa kutumia ndoo mkono kwa mkono

BOFYA CHINI KUONA VIDEO YA TUKIO HILO


ANGALIA PICHA ZAIDI. . .



Askari polisi wakijitahidi kutuliza na kuhakikisha usalama upo katika enero la Mwananyamala karibu na hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam, jana baada ya moto kuteketeza nyumba zisizopungua 4, haikuweza kufahamika maramoja ni mali kiasi gani iliteketea na moto huo, hakuna madhara yoyote ya kibinadamu




Askari wa Jeshi la Zimamoto, Saleh Ally Mohammend, Sajent Meja, akitoa maelezo kuhusiana na tukio zima moto katika eneo hilo

No comments:

Post a Comment