Wednesday, July 30, 2014

BREAKING NEWS: AJALI MBAYA YA BASI LA MOROBEST YAUA WATU 17 (PICHA 3)


Taarifa iliyotufikia leo asubuhi na kudhibitishwa na District Traffic Officer (DTO) wa Kongwa, kuwa basi la Morobest limepata ajali kwa kugongana na lori semitrailer asubuhi ya leo eneo la Pandambili Kongwa. Inasemekana kuna vifo visivyopungua 17.

Mungu awalaze marehemu wapumzike kwa amani na majeruhi wapone kwa haraka.





No comments:

Post a Comment