Tuesday, June 03, 2014

ZIARA YA DIAMOND MAREKANI YAWEZA KUZAA MAFANIKIO MAKUBWA?


Diamond Platnumz juu kabisa akiwa na Kevin Liles, chini ni Kevin Liles akiwa na Nicki Minaj, Kevin Liles ni kati ya waaznilishi na wamiliki wa makampuni ya muziki nchini Marekani, kwa sasa umaarufu wake unazidi kwenda juu kwa kuwa Meneja wa wanamuziki maarufu duniani kama Trey Songz, Estelle, na Big Sean. 

Akiwa ziarani nchini Marekani, Diamond pia ameingia katika kinyang'anyiro cha BET ambapo mpaka sasa anaedelea kufanya vizuri katika ulimwengu wa muziki, yamebaki masaa machache kabla upigaji kura haujafungwa katika tuzo za muziki za MTV Mama Awards kufungwa, wahi sasa tumpigie kijana ashinde, tanzania itakuwa imeshinda

Chini : Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mkutano na Kevin Liles, Diamond pamoja na Watanzania wengine nchini Marekani, jijini New York.





No comments:

Post a Comment