Sunday, June 08, 2014

MISA MAALUMU NYUMBANI KWA MAREHEMU GEORGE TYSON LEO KATIKA PICHA

 Wana kwaya ya Nairobi Gospel Church Choir wakimwimbia Bwana walipotembelea familia ya Okumu nyumbani kwa wazazi wa George Tyson




 Mama wa Marehemu George Tyson (mbele) na mke wa Marehemu (Nyuma) katika misa maalumu iliyofanyika leo mchana nyumbani kwa wazazi wa Marehemu.






No comments:

Post a Comment