Saturday, June 14, 2014

HATIMAYE MWILI WA GEORGE TYSON WALAZWA KATIKA NYUMBA YAKE YA MWISHO



Mama wa Marehemu George Tyson, Mwongozaji Filam maarufu nchini Tanzania na Kenya akiweka udongo katika kaburi la mtoto wake, George Tyson

Chini ni mama wa marehemu akiwa na huzuni baada ya kuweka udongo katika kaburi la mwanae


Mtoto wa Marehemu, Sonia akilia kwa uchungu wakati dada wa marehemu Caroline Okumu akiweka  udongo katika kaburi la baba yake







No comments:

Post a Comment