Monday, June 09, 2014

HALI NA MAZINGIRA YA ELIMU NCHINI INATISHA, ANGALIA HALI ILIVYO GEITA

Walimu 97 katika shule ya msingi Nyankumbu na Mkombozi katika Wilaya ya Geita, wanatumia tundu moja la choo ambacho kipo kwenye nyumba ya mwalimu huku wanafunzi wa shule hizo 3,563 wakitumia matundu 14 ya choo na kuhofiwa kutokea magonjwa ya milipuko.

No comments:

Post a Comment