Saturday, June 21, 2014

BREAKING NEWS: WATU 19 WAFARIKI KATIKA AJALI MBAYA DAR ES SALAAM (PICHA ZINATISHA)




Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa, watu 19 wamepoteza maisha kwa ajali mbaya iliyotokea katika Barabara ya Bagamoyo, eneo la Makongo jeshini, ajali hiyo iliyohusisha daldala iliyokuwa imebeba abiria kupoteza mwelekeo wakati linatoka Mbezi Tangi Bovu, na kuingia katika upande wa pili wa magari yanayo toka Mwenge.

Huku likiwa katika mwendo mkali, daladala hiyo ili gongana na gari aina ya Pajero, na kisha kugongana na magari mengine manne, kama haitoshi lori la mchanga lililokuwa linatoka Mwenge likagonga magari yote matano na mengi kuangukia mtaroni.

PIcha zinaonesha miili ya baadhi ya watu wakiwa mtaroni huku mwingine akiwa amepitiwa na lori hilo

MUNGU AWAWEKE MAHALI PEMA PEPONI, AMINA





No comments:

Post a Comment