May 21 1996 Tanzania ilipatwa na msiba mkubwa,mamia ya watu akiwemo Mama yangu mzazi walipoteza maisha kwenye ajali ya Mv Bukoba. Mwenyezi Mungu aendelee kuzilaza roho zao mahala pema peponi siku hii pia itukumbushe umuhimu wa usalama wa vyombo vya majini.
No comments:
Post a Comment