KUTOKA VIWANJA VYA LEADER'S CLUB JANA
Msanii wa Filamu "Bongo Movies" Jacob 'JB' Steven akitoa hesma za mwisho. Chini: Dr. Cheni
Msanii wa Bongo Movie Wema Sepetu akisaidiwa baada ya kutoa hesma za mwisho jana katika viwanja vya Leader's Club, Chini: Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mh. Fenella Mukangara akihutubia kabla ya kwenda kuaga mwili wa marehemu Adam Phillip Kuambiana katika viwanja vya Leader's Club
Waziri Phenella Mukangara akitoa heshma za mwisho. Chini: Meya wa Kinondoni, Yusuph Mwenda akiaga mwili wa Marehemu Kuambiana jana
Mwakilishi wa CHADEMA akishiriki kutoa heshma za mwisho jana, Chini Msanii wa muziki wa kizazi kipya Q-Chilla akitoa heshma za mwisho jana.
Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya FM Academia Nyoshi Sadat akitoa heshma za mwisho. Chini Mwigizaji maarufu, Jaquline Wolper akitoa heshma za mwisho
Msanii wa vichekesho Comedian Maselle akiaga mwili wa msanii Adam Philip Kuambiana
No comments:
Post a Comment