Tuesday, May 06, 2014

ANGALIA MITOKO YA JANA KATIKA FASHION GALA NIGHT RED CARPET

Hawa ni baadhi ya watu maarufu waliohudhuria kwa kiasi kikubwa katika usiku wa ubunifu wa mitindo ya mavazi katika jumba la makumbusho la sanaa la Metropolitan (Metropolitan Museum of Art’s annual Costume Institute Gala) ambayo pia inajulikana kama Met Ball.

Mwaka huu sherehe hizo zilikuwa ni maalumu kwa Charles James na wanaume walitakiwa kuvaa tai nyeupe ikiwa ni sharti kubwa.














No comments:

Post a Comment