Friday, May 16, 2014

AJALI YAUA WATU 10 HAPO HAPO, 9 WAJERUHIWA

Juzi usiku muda wa saa 1 ilitokea ajali ya gari maeneo ya Igoma – Nyamuhongolo, Mkoa wa Mwanza. Ajali hii ilihusisha lori la kampuni ya Nyanza Works na basi dogo aina ya Toyota Coaster yenye namba za usajili T 769 CQE na leseni ya SUMATRA namba A3A 003147.

Inayoishia tarehe 22/10/2014 basi la Bw. Goefrey J. Mushema (Tinsela Express) lifanyalo safari zake kati ya Mwanza na Bunda (Coaster) iliyokuwa inatokea Mwanza kuelekea Bunda.

Jina la dereva: Yohana Manyandakia. Chanzo: Dereva wa gari dogo aina ya Coaster kuparamia lori lililokuwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara. Vifo: Watu 10 walikufa palepale , Majeruhi: Walitolewa 9





No comments:

Post a Comment