50Cent alianzisha bifu na Diddy alipojaribu kuingia mkataba na msanii Mase na Diddy akakataa akidai kuwa Mase bado ana mkataba naye. Mase ambaye alitaka kuachana na mkataba wake ili kuwa mchungaji, Diddy hakubisha sababu ni kazi ya mungu.
Miaka michache baadae Mase akafikiri Diddy ameshamsahau na ndipo aliamua kwenda kujiunga na G-Unit. Ndipo Diddy alipoibuka na kusema Mase bado ana mkataba naye, ndipo Mase akaamua kurudi kuendelea kuwa mchungaji kuliko kufanya kazi na Diddy.
50Cent akashikwa na hasira mpaka leo. Kati ya vitu 50Cent aliamua kufanya ni pamoja na kuweka picha hizi (KUSHOTO)na kuandika ujumbe unaosomeka
“I ain’t saying nothing, but something ain’t right. Lmao” akimaanisha kuwa sisemi kitu lakini kuna tatizo hapa. Lakini baada ya kuvutana sana, ndio 50Cent akaamua kutoa picha hizo wakati ambapo ujumbe ulishafika.
No comments:
Post a Comment