Tumepata taarifa ya ajali ya basi la Master city lililokuwa likitokea Dar kwenda Mwanza kwamba limepata ajali maeneo ya Kyengege (sio SEKENKE) umbali yapata km 55 kutoka Singida mjini.
Katika ajali hiyo inadaiwa hakuna mtu yoyote aliyepoteza maisha, mpaka tunakwenda mitamboni basi hilo lilikuwa bado halijainuliwa.
ANGALIA PICHA ZAIDI. . .
No comments:
Post a Comment