Tuesday, January 28, 2014

WAZIRI ANAPOKULA CHAKULA KWA MAMA LISHE

Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akipata chakula cha mchana katika mgahawa wa mamalishe alipotembelea Kijiji cha Ilongelo wilayani Ikungi, Mkoa wa Singida, juzi. PICHA - MPOKI BUKUKU

No comments:

Post a Comment