Saturday, January 25, 2014

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA MBOWE MSIBANI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe (CHADEMA) wakati wa mazishi ya mbunge wa Chalinze Marehemu Said Bwanamdogo wakati wa mazishi yake yaliyofanyika huko Miono Wilayani Bagamoyo leo.



No comments:

Post a Comment