Wednesday, January 29, 2014

NAPE ASHIRIKI KUKATA NYASI, MAANDALIZI MIAKA 37 YA CCM

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kuboresha uwanja wa Sokoine ikiwa sehemu ya maandalizi ya sherehe za miaka 37 ya CCM zitakazofanyiaka kitaifa mkoni Mbeya tarehe 2 Februari na mgeni wa heshima anatazamiwa kuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

CHINI: Katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya Luteni Mstaafu Maganga Sengelema akichangia jambo mbele ya Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakati wa kukagua maandalizi ya awali ya sherehe za maika 37 ya CCM ambazo kitaifa zitafanyika mkoani Mbeya tarehe 2 Februari



No comments:

Post a Comment