Saturday, December 28, 2013

UJUMBE WA JACKIE CLIFF KUHUSU MARTIN KADINDA

Baada ya kukamatwa na kilo 1.1 za heroin nchini China, mrembo Jackie Cliff kwa sasa anasubiria hatima yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa ya kulevya. Ikiwa nchini humo kuna adhabu tofauti za kuwahukumu watu wanao jihusisha na madawa ya kulevya.

Kupitia Personal Message ya BBM aliyoiandika mwana dada Jackie Cliff inayosema … ” Ikitokea nimekufa wosia Martin Kadinda ana maagizo ya nini cha kufanya … dnt ask pls.” inasemekana kuwa kama mrembo huyo atashindwa kujikwamua katika tatizo hilo basi, rafiki yake wa karibu ana maagizo yote ya nini cha kufanya kama yeye hatokuwepo tena. 

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Gongamix



No comments:

Post a Comment