Sunday, December 29, 2013

HII IMEKAAJE: JAJI RAMADHANI AWA MCHUNGAJI?

Jaji Ramadhani awa mchungaji Anglikana

Jaji Mkuu Mstaafu, Jaji Augustino Ramadhani akitoa mkate kwa waumini wa Kanisa la Anglikana baada ya kupewa Daraja la Ukasisi katika Kanisa la Anglikana lililopo Mkunazini mjini Zanziabar jana.

No comments:

Post a Comment