Thursday, July 11, 2013

UGANDA YA PILI KWA UFISADI AFRIKA MASHARIKI


Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Uwazi kuhusu ufisadi Transparency International inaonyesha kuwa Uganda inashika nafasi ya pili katika kanda ya Afrika Mashariki kwa rushwa.
Hata hivyo serikali ya nchi hiyo inapinga ikisema kigezo kilichotumiwa hakikutoa picha kamili.
Siraj Kalyango na ripoti hiyo

No comments:

Post a Comment