Tuesday, June 25, 2013

JOYCE KIRIA AMTAFUTA MUMEWE NA MABANGO

Mtangazaji wa kipindi cha Wanawake Live, kinachorushwa na televisheni ya EATV. Joyce Kiria amewabeba watoto wake, wakati akizungumza na waandishi wa habari hapo pichani  Dar es Salaam akilalamika polisi kumkamata mumewake Henry Kileo na kushindwa kumfikisha mahakamani kwa wakati

No comments:

Post a Comment