Monday, March 11, 2013

MSAFARA WA BAISKELI DAR ES SALAAM MARCH, 2013

Mgeni Rasmi Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu akipokelewa na Mwenyekiti wa UWABA Mejah Mbuya (Chini) na kupewa reflector kabla ya mzunguko kuanza (Juu).


Wandesha baskeli wakiwa wamejipanga tayari kuanza msafara

Mtoto Catherine akiwa na Mbwa wake

Media crew wakiwa kwenye guta wakati wa msafara huo

Mtoto akibembelezwa na baba yake kabla ya zoezi kuanza, inalekea alikuwa anaogopa kundi kubwa la waliojitokeza

Mtoto Nasir Rasuli mwenye umri wa miaka 5, akisaidiwa na baba yake jana katika msafara wa baiskeli wa kilometa 15 wenye lengo la kuchangia mfuko wa ugonjwa wa sickle cell nchini.


Wakimbiaji wakishangilia baada ya kufika kwenye viwanja vya Biafra Kinondoni ambapo ni nusu ya mzunguko mzima


Muinuko wa Mkwajuni kuelekea Magomeni hakuwa kazi rahisi, Chini: ilibidi Rasuli amsaidie mtoto Nasir na baskeli yake katika muinuko huo






Adam Fulla Mkurugenzi wa Southern Sun alikuwepo

Kundi kubwa la waendesha baskeli wakiwa katika msafara, mbele ya Msibazi Center, Ilala


Roundabout ya Uhuru, Kariakoo kuelekea kumaliza mzunguko

Mchekeshaji Evans Bukuku nae alikuwepo

Janet na kundi lake baada ya kumaliza mzunguko wakijipongeza kwa ice cream

Hoi Evans Bukuku the comedian, pole sana

Mshindi wa baskeli

Mejah akimsaidia mtoto alieshinda baskeli kutafuta wazazi wake waje kumsaidia




No comments:

Post a Comment