Labda CUF itasaidia, maji bado ni shida jijini, hata kama ungekuwa ni mwisho wa dunia 2012, baadhi ya watanzania wangeepotea bila kupata luxury ya maji, hapa ni Tandale karibu na kanisani. |
Vijana wakiwa wamepumzika kivulini baada ya kusota sana kutafuta maisha, Ilala Boma mbele ya ofisi za Mkuu wa Mkoa |
Style mpya jijini, siku hizi ukipata pancha wala husogezi pembeni, hapo kwa hapo unabomoa unatengeneza hata ikikuchukua wiki nzima poa tu. haijalishi uko wapi |
No comments:
Post a Comment