Saturday, August 19, 2017

ROLI LAPINDUKA NA KUACHA BARABARA ENEO LA KIMARA TEMEBONI

Roli la Mafuta likiwa limepinduka mara baada ya kuacha barabara ya Mororogo na kuanguka pembeni katika eneo la Kimara Temboni jijini Dar es Salaam leo

Roli la Mafuta likiwa limepinduka mara baada ya kuacha barabara na kuanguka pembeni katika eneo la Kimara Temboni jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment