Monday, August 21, 2017

EFM YAZINDUA TAMASHA LA MZIKI MNENE KWA MIKOA SITA NCHINI

 
Meneja Mkuu wa Efm Radio na Tv E , Denis Busulwa (SEBO), Akizungumza na Waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa Tamasha Mziki Mnene litakalo fanyika katika mikoa sita nchini Sanjari na Kampeni ya Nje Ndani ambayo itarusha vipindi vya Radio kutoka mitaani .

 
Afisa Uhusiano na Meneja Matukio wa Efm Radion Tv E , Neema Ukurasi akizungumza juu ya Tamasha la Muziki Mnene litakavyoweza kufika katika mikoa yote ambayo Efm Radio inasikika kwa sasa


 
Waandishi wa Habari na Baadhi ya wafanayakazi kutoka Efm Radio na Tv E wakifatilia mkutano wa uzinduzi wa Tamasha la Mziki Mnene


Meneja Masoko kutoka kampuni ya Michezo ya Kubahatisha ya Biko, Good Hope Heaven , akizungumza namna kampuni yao ilivyoweza kudhamini Tamasha la Muziki Mnene kupitia bahati nasibu ya Nguvu ya Buku



Baadhi ya Watangazaji wa Efm Radio na Tv E Wakifatilia uzinduzi wa Tamasha la Mziki Mnene



Balozi wa kampuni ya Noah Funishing na Mtangazaji wa Efm Radio , Swebe Santana akizungumza ju ya kampuni hiyo ilivyojikita katika kudhamini Efm Joging itakyofanyika katika mikoa yote sita amabpo Tamasha la Muziki Mnene litafanyika











No comments:

Post a Comment