(Picha zote na Raymond Mushumbusi) MAELEZO
Wednesday, May 11, 2016
RAIS MSTAAFU KIKWETE AFURAHIA DARAJA JIPYA LA NYERERE (KIGAMBONI)
Rais Msataafu Dkt Jakaya kikwete akifurahia uzuri wa daraja la Nyerere lililopo Kigamboni jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea daraja hilo hivi karibuni.
Rais Msataafu Dkt Jakaya kikwete akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Uwekezaji kutoka NSSF Bw. Yacoub Kidula wakati alipotembelea daraja hilo hivi karibuni.
Rais Msataafu Dkt Jakaya kikwete akitoka kuangalia vituo vya ukusanyaji wa ushuru vilivyo katika daraja la Nyerere alipolitembelea hivi karibuni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment