Tuesday, April 12, 2016

AIRTEL WAKUTANA NA MABALOZI WAO AMBAO NI WASANII WA NAVY KENZO

Airtel yaleta 'Jipimie Yatosha Yako

Airtel Tanzania' katika mpango wake wa kutoa uhuru zaidi kwa wateja wake imetangaza kifurushi kipya kupitia huduma yake ya vifurushi vya Airtel Yatosha kijulikanancho kama Airtel Jipimie Yatosha Yako itakayowapa wateja wake faida kubwa na uwezo wa kuweza kupanga na kuunda kifurushi wanachokitaka kutokana na chaguo na mahitaji yake .

Wakati wa kutangaza huduma hiyo kwa wafanyakazi wake wa ndani leo kwa wafanyakazi wake wamekutana na kupiga picha na mabalozi wa huduma hiyo kama inavyoonekana katika picha mbalimbali hapa

Meneja uhusiano wa airtel pic 1b alisema Kujiunga na kifurushi cha Yatosha na kufurahia Jipimie Yatosha Yako, wateja wanatakiwa kupiga namba *149*99# na kuchagua namba 5 ‘Jipimie Yatosha Yako’ na kutengeneza kifurushi cha chaguo lake.

Huduma mpya ya uhuru wa kujipimia Vifurushi vya Yatosha imezinduliwa na kusindikizwa na wasanii wa kundi la Navy kenzo linaloundwa na Nahreel na Haika ambao wataitambulisha sehemu mbalimbali nchini

"tutahakikisha kila mtu anakamatia Yatosha yake inayomkutosha" alisema Nahreel wa Navy Kenzo.














No comments:

Post a Comment