Na MAELEZO
Dar esSalaam Chama cha Wasambazaji wa Filamu Tanzania kimeipongeza Serikali ya awamu ya tano kwa juhudi zake inazozifanya katikakupambana na uharamia kwenye sekta ya filamu Tanzania. Hayo yamesemwa na Rais wa Shirikishola Filamu Tanzania Bw. Saimon Mwakifamba alipokuwa akiongea na waandishi wa habarileo Jijini Dar es salaam kuhusu kuunga mkono juhudi madhubuti za Serikali za kudhibitiuharamia wa kazi za filamu haswa kwenye eneo la mauzo la sokoni Kariakoo.
“Kwa takribani miaka mitatu sasa tumekuwana kilio cha wazi kwa Serikaliya Tanzania iliitusaidie kuwabana wahujumu wa mapatoya nchi unaofanyika kupitia njia za kiharamia zinazotumika kuuza kazi za filamundani na nje ya nchi.
Kilio chetu kimesikilizwa natunaaminitija ya soko la filamu litaanza kuonekana ndani ya muda mfupi kuanzia sasa.”AlisemaMwakifamba. Aidha, Mwakifamba amefafanua kuwa,idadi ya watu walioulizia kuwekeza katika usambazaj iimeongezeka kutokana na kaziya usambazaji kufanyika kwa uhalali baada ya juhudi za Serikali za kupunguza uharamiaunaofanyika kwenye usambazaji wafilamu.
Pia,ametoa rai kwa Serikali kutolegezakamba bali kuzidi kulidumisha zoezi hili la kudhibiti mianya yote ya uharamia iliwasambazaji watumie utaratibu unaotakiwa na Serikali katika usambazaji wa kazi zafilamu. Kwa kipindi kirefu sasa wasanii nchiniwamekuwa wakipambana na unyonywaji wa kazi zao za filamu unaofanywa na wasambazajiwa filamu wasio halali ambao wanapunguza mapato ya wasanii na taifa kwa ujumla. Mwisho

No comments:
Post a Comment