Smile Communications Tanzania ("Smile Tanzania") (https://Smile.co.tz) imetangaza kuanzishwa kwa 4G LTE mbili bunifu kwa wateja wake Tanzania - SmileVoice na SmileUnlimited. Smile ni ya kwanza kufanyakazi Afrika Mashariki kuwapatia wateja wake huduma ya LTE ya Voice over (sauti), kuwapatia upatikanaji wa haraka kwa kiwango cha Kimataifa kwa kupiga simu kwa sauti na video.
SmileVoice inakuja kwa njia mbili, kwa kutumia programu bila malipo inayoongoza duniani kwa watumiaji. Wateja wanaweza kuipata ni wenye vifaa vya Android na Apple iPhone watakuwa na uwezo wa kupiga simu Vizuri Kabisa za sauti kwenye mtandao wa Smile 4G LTE, au njia ya kutumia simu ya mkononi yenye uwezo wa VoLTE (kama vile Samsung ya hivi karibuni) pamoja na SIM Kadi ya Smile.
SmileUnlimited inawapatia wateja siku 30 ya kutumia Smile SuperFast 4G LTE huduma ya simu ya Smile broadband.
Bw Eric Behner, Meneja wa Nchi, Smile Tanzania alisema, "Smile ni ya kwanza kufanyakazi Afrika Mashariki kutengeneza na kuzindua LTE Sauti, pia ni ya kwanza duniani kutengeneza na kuzindua App ya bureprogramu ya bila malipo ya Sauti LTE ambayo itawezesha wateja wetu wote Tanzania, wenye vifaa vya Android na iPhone, kupiga simu zenye viwango bora kabisa vya sauti kwenye mtandao wa Smile. Msimamo wetu ni kuboresha ubora wa huduma za sauti na huduma za data (mtandao) Tanzania, na kwa kutumia SmileVoice wateja wetu wanaweza kumpigia simu mtu yeyote nchini na kimataifa, kama wanavyopiga katika simu nyingine. "
"Pamoja na tangazo letu la fedha hivi karibuni Smile wameongeza upatikanaji wa mtandao wa 4G LTE kufikia miji 7 Tanzania, na sasa wanatoa siku 30 za kutumia Smile SuperFast 4G LTE huduma ya simu ya Smile broadband - hakuna mtoa huduma mwingine anayewapatia wateja wake kitu cha thamani kama hiki na kwa urahisi," anasema Bw Behner.
Katika kufafanua huduma ya SmileUnlimited, Bw Behner amesema kwamba utolewaji wowote usio na kikomo unazingatia sera ya haki ya matumizi (FUP). Sera ya Haki ya Matumizi ya Smile ni ya haki sana na ina hakikisha uunganishwaji utakuwa ni wa kipindi cha siku 30.
Si tu bei ya Smile ni nafuu zaidi kuliko za watoa huduma wengine, lakini ubora wa broadband unaifanya SmileUnlimited mshindani anayestahili thamani ya Smile ikiambatana na kasi, ubora, upatikanaji na urahisi wake.
Programu ya bila malipo ya SmileVoice ni ya kwanza duniani, inayowa wezesha wateja ambao hawana simu zenye uwezo wa VoLTE kupiga simu za Sauti LTE wanapounganisha na broadband ya simu ya Smile. "Katika soko la Tanzania Android ni simu inayoongoza na pamoja na App ya bure ya SmileVoice, tutahakikisha kwamba wateja wetu wote waliosajiliwa wanapata huduma bora ya kupiga kwa sauti kutoka kwenye simu zao," anasema Bw Behner.
Kutumia SmileVoice, wateja watatakiwa kusajiliwa kuwa na SIM kadi ya Smile na Kuamilisha huduma ya SmileData. Ukiwa nje na mbali na mtandao wa Smile, Programu ya SmileVoice itakuwezesha kupiga simu kutoka kwenye kifaa chochote ambacho kimeunganishwa na mtandao wa 3G au Wi-Fi ya nyumbani au nje ya nchi. Wateja watakaopiga simu wanaosafiri nje ya nchi watalipia kwa gharama zao za ndani, kama wanapiga wakiwa nyumbani.

No comments:
Post a Comment