Monday, March 21, 2016

PSPF YATOA SOMO KWA WAJASIRIAMALI KUHUSU UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO HUO KWA HIARI

Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard wa pili kutoka kulia akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa taasisi ya ASHATA Bi. Lightess Thobia katika hafla ya makabidhiano ya vitambulisho vya wanachama iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana).

Meneja wa Mpango wa uchangiaji wa Hiari PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto akimkabidhi vitambulisho vya wanachama wa Mfuko huo Bi. Lightess Thobia kulia ambaye ni Mkurugenzi wa taasisi ASHATA katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo (jana)

Afisa Uendeshaji kutoka Mfuko wa Uchangiaji kwa Hiari PSPF Bw. Delphine Richard akiwaelimisha wajasiriamali umuhimu wa kujiunga na mfuko huo kwa hiari.

No comments:

Post a Comment